HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 30, 2015

MKUU WA WILAYA MBEYA MJINI MH.NORMAN SIGALLA AZINDUA KATIBA YA CHAMA CHA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) JIJINI MBEYA.

Mkuu wa wilaya mbeya mjini Mh.Norman Sigalla azindua rasmi katiba ya waendesha pikipiki jijini mbeya   katiba itakayo waongoza wanachama wote na waendesha bodaboda jijini huma mapeme leo katika uwanja wa sabasaba eneo la FFU jijini mbeya.
 Mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda jijini mbeya(shoto) Vicent Mwashoma akipokea pongezi kutoka kwa mkuu wa wilaya mbeya mjini(kulia) Mh.Norman Sigalla katika uzinduzi wa katiba ya waendesha bodaboda jijini mbeya.
  Mkuu wa wilaya mbeya mjini(kulia) Mh. Norman Sigalla akikabidhi katiba kwa mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda jijini mbeya.






baadhi ya wanachama wa umoja wa waendesha pikipiki jijini mbeya walio hudhuria hafra hiyo ya uzinduzi wa katiba yao mpya, uliofanyika katika viwanja vya sabasaba jijini mbeya.


 Haya ndio mapokezi ya katiba hiyo iliyo wasilishwa leo kwa wanachama wote wa umoja wa waendesha bodaboda jijini mbeya.picha na Fadhiri Atick a.k.a Mr Pengo globu ya jamii nyanda za juu kusinii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad