HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 21, 2014

UKIONAA HIVI UJUWE MAMA WATOTO ANA UDHURU

Choko choko za mzee wa mtaa kwa mtaa kitaani amebahatika kunasa taswira ya ndugu Rashid maharufu kwa jina la Mfaume akifanya manuva ya kung'arisha chombo ya ndanii.
"daa hawa wanawakee bwana sijui alisemaa anarudi lini, haya mambo mi sijayazoea kabisa, kupika kuosha viomboo na mambo ya kupiga dekii, mhh nikimaliza hapa niwasilianee nae mapeemaa arudi harakaa iwezekanavyo"

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad