HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 20, 2014

nguna ikikorofishwa mchana wa leo

Katika pita pita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,leo iliibuka maeneo ya Msasani na kuwakuta kina mama hawa ambao wanafanya biashara ya Chakula (Mama Ntilie) wakikorofisha nguna ya nguvu maalum kwa wateja wao.
Mambo yamezidi kunoga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad