HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 19, 2014

HIKI NDICHO KILICHO JIRI LEO KWENYE MLIMA KITONGA

Kama panavyo jurikana Kitonga na watu mbalimbali hususani wasafiri wa mikoani wanao tumia barabara ya mlima kitonga katika safari zao, leo libeneke hili limeshuhudia ugumu wa kazi za madereva baada ya moja ya malori kukwama katika barabara ya kitonga kutokana na ukosefu wa pumzi kutokana na safari kuwandefu na kupelekea madeleva wa malori hayo kushuka kapuni na kujiongeza katika ukarabati wa michuma yao.
 hapa sasa ndo shurba hiyo ya malori kukwama, ikiwa imepamba moto kama unavyo ona hapa baada ya lori hili kufunga barabara na kuleta ugumu wa kazi kwa magari yanayo toka upande mwingine.
malori hayo yakiwa katika hali mbaya katikati ya barabara huku vidume vikijiongeza kwa kujadiliana  juu ya upanguaji wa malori hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad