HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 24, 2014

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MUONEKANO WA SASA WA MANZESE JIJINI DAR

 Manzese ya sasa ukitofautisha na ile ya kipindi kile.
 Zamani eneo hili kulikuwa na kivuko ila sasa kimehamishwa,lakini kama ilivyo ada kwamba mazoea hujenga tabia.watu bado wanavukia hapa hapa.
 Mishe mishe kama kawa Manzese.
 Mapumziko kivulini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad