HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 22, 2014

HAYA NI MATUMIZI MABAYA YA BARABARA

Hivi kweli hii ni sahihi kwa magari mawili kusimama katikati ya njia huku madereva wa magari yote mawili wakionekana kupiga soga kana kwamba wako kwenye baraza la gahwaa...!! Wazee wa feva lichekini swala hili kwa jicho la tatu,maana huu ni utumiani mbaya wa barabara.Hii ni pale kwenye Kituo cha Daladala cha Stesheni,Jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad