HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 26, 2014

TAARIFA YA MSIBA

IMG-20141025-WA0035
Mpendwa wetu Dr Kansolele Ntevi amefariki dunia tarehe 22/10/2014 Mazishi yanatarajiwa kufanyika jumatatu Tarehe 27/10 / 2014 katika makaburi ya Kinondoni. Kutakuwa na ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Dr. Kansolele Ntevi nyumbani kwake maeneo ya Kunduchi baada ya chuo cha jeshi njiapanda ya Madini,barabara ya vumbi nyumba ya tatu. Kwa mawasiliano na familia piga namba 0767004908 au 0717017820
Pole saana Da Dorothy wa Dorcas catering sisi tulimpenda mungu kampenda zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad