HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 2, 2014

SSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wahariri hao.
Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari, wakisikiliza mada hiyo, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi.
Wahariri wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa katika semina hiyo.
Wahariri wakiwa makini katika kufuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa katika semina hiyo.
Wahariri wakiwa katika kufuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa katika semina hiyo.
Wahariri wakisikiliza mada kuhusu Kuhuisha Mafao ya Pensheni.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha SSRA, Sarah Kibonde (kulia), akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Teknohama cha SSRA, Carina Wangwe (kushoto), wakati wa semina hiyo.
Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi, akifafanua jambo, wakati akiwasilisha mada hiyo ya kuhusisha Mafao ya Pensheni.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina hiyo, ya wahariri wa vyombo vya habari, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina hiyo, ya wahariri wa vyombo vya habari, Dar es Salaam jana.
Wahariri wakiwa kwenye semina yao hiyo jana.

Wahariri wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye semina yao hiyo.
Wahariri wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye semina yao hiyo.
Mhariri Mstaafu wa Magazeti ya Mwananchi, Theophil Makunga, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akifafanua jambo kuhusu mafao yanayotolewa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa wanachama wa mifuko hiyo. 
Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi, akitoa ufafanuzi wa viwango mbalimbali vya mafao wanayostahiki kupewa wastaafu, wakati akiwasilisha mada inayohusu Kuhuisha Mafao ya Pensheni.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia), akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Ngabo Ibrahim (kushoto) na Mkurugenzi wa Tafiti na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi, wakiorodhesha maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wahariri hao, kutaka kufahamu masuala mbalimbali kuhusiana na mafao kwenye Mifuko mbalimbali ya Hifadhi za Jamii nchini.
Mhariri Mstaafu wa Magazeti ya Mwananchi, Theophil Makunga, akitaka ufafanuzi kuhusiana na mafao mbalimbali yanayotolewa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa wanachama wa mifuko hiyo. 

Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Ngabo Ibrahim (kushoto), akijibu maswali yaliyokuwa yameulizwa na wahariri wakati wa semina hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka na katikati ni Mkurugenzi wa Tafiti na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji cha SSRA, Sarah Kibonde (kulia), akisikiliza kwa makini ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa kwa wahariri hao na  Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Ngabo Ibrahim. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Teknohama cha SSRA, Carina Wangwe.
Mkurugenzi wa Taifiti na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi, akijibu baadhi ya maswali ya wahariri wa vyombo vya habari, wakati wa semina hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka.
Mkurugenzi wa Taifiti na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi, akijibu maswali ya wahariri wa vyombo vya habari, waliotaka kujua masuala mbalimbali yahusuyo Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka na kushoto ni Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Ngabo Ibrahim. 
Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, wakiwa kwenye semina hiyo jana. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akijibu maswali ya wahariri wa vyombo vya habari wakati wa semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (katikati), akipiga picha ya kumbukumbu pamoja na wahariri wa vyomba mbalimbali vya habari wakati wa kumalizika kwa semina hiyo.Picha zote na Kassim Mbarouk wa Bayana blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad