HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 31, 2014

MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA HUDUMA KWA JAMII AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila, wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia), wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Fidelis Mboya.Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad