Mihogo mibichi sasa hivi imekuwa na soko sana kwa wakazi wa maeneo mbali mbali hapa jijini Dar na maeneo mengine,sijafahamu bado kwamba ni kwanini Mihogo mibichi imekuwa na mapenzi sana na Watu.Wadau wenye ufahamu juu ya hili Msaada Tutani.Pichani ni wakina mama wanaofanya biashara hiyo wakiwa na mteja wao.
No comments:
Post a Comment