HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 21, 2014

Mdogo Mdogo kwenda Chuoni

Pilika pilika kwa Wanafunzi wa Vyo vya elimu ya Juu imeanza katika maeneo mbali mbali nchini mara Baada ya vyuo vingi kufunguliwa hivi karibuni,wanafunzi kutoka sehemu wameanza kulipoti vyuoni.Pichani ni sehemu ya Wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Campas ya Mbeya wakiwa katika safari ya kwenda kuripoti kwaajili ya kuanza masomo yao,huku wakijikongoja mdogo mdogo na mizigo yao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad