HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 18, 2014

Wakala wa huduma za ajira Tanzania (TaESA) wamefanikiwa kutoa mafunzo kwa watafuta kazi 2146

Afisa Tawala wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bw. Peter Ugata akitoa wito kwa wadau na wananchi kwa ujumla kutumia wakala huu unaowaunganisha waajiri na watafuta kazi nchini.wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wakala huo Bi. Jamila Mbaruku
Afisa Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bi. Jamila Mbaruku akiewaeleza waandishi wa Habari( hawapo pichani) kuhusu kuhusu mikakati ya wakala wa huduma za ajira kusaidia wananchi wa tanzania kuingia katika ushindani wa soko la ajira nchini ikiwemo kutoa mafunzo kwa Watafuta kazi.Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Tawala wa Wakala hiyo Bw. Peter Ugata.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad