HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 15, 2014

Professor Jay - Tatu Chafu (Official Video)



Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Msanii Professa J akitoa burudani.
Msanii Professa J akizindua video zake.
Red Carpet nayo iliweza kunoga.
Mzuka ulipopanda.

Dj akifanya yake.
Wazee wa Chadema nao walikuwepo,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad