HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2014

ULALAJI HUU SI SALAMA KABISA KWA ABIRIA HUYU

Leo katika katiza katiza za Mtaa kwa Mtaa,nilipita maeneo ya Magomeni mapipa jijini Dar na tukiwa kwenye foleni ya kusubiria ruhusa ya taa za kuongozea magari,nikamuona swaiba huyu akiwa kauchapa usingizi kisawasawa.hapo ndipo nilipobaini kwamba bwana ndugu huyu hayuko salama katika ulalaji wake,kwani ikitokea dereva wa gari hilo kasimama ghafla na alikuwa kwenye mwendo kidogo(japo hatuombei) basi ndugu huyu anaweza toka moja kwa moja humo garini na akaangukia ngukia barabarani.hivyo tuwe makini kina ndugu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad