HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 20, 2014

SOS CHILDREN TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

 Mkurugenzi Mtendaji wa SOS Children Tanzania, Anatory Rugaikamu (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Serena wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya Kuwasaidia Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Ltd, Bi Teddy Mapunda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha fedhaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa Katika mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Serena mapema leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad