HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 20, 2014

SEMINA YA BRN KWA WAKURUGENZI WA WIZARA NA TAASISI

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa akizungumza wakati wa kikao kilichowakutanisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazotekeleza Mpango huo.
Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mapato na Sekta za Kiuchumi katika PDB, Bw. Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa semina ya kutathmini utekelezaji wa BRN iliyohusisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na utekelezaji wa BRN.
Baadhi ya watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali wakifuatilia mada zilizokuwa zimetolewa wakati wa semina ya kutathmini utekelezaji wa BRN iliyohusisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na utekelezaji wa BRN. (Picha zote na Idara ya Mawasiliano PDB).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad