HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 28, 2014

WAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU JIMBONI KWAKE

Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika.
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akiwakaribisha waumini wa dini ya Kiislamu katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Mke wa Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe ,Kudra Maghembe akiwakaribisha waumini wa dini ya Kiislamu katika futari iliyoandliwa kwa ajili yao.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakisali swala ya Magharibi katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga kabla ya Futuru iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakipata Futari .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad