HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 22, 2014

Wanafunzi wakiwa mapumzikoni baada ya kipindi kirefu cha masomo

Katika pita pita ya Kamera mani wa Mtaa huu,leo alikatiza maeneo ya Shule ya Msingi Mikocheni A na kukuta baadhi ya Wanafunzi hao wakiwa kwenye Mapumziko baada ya kipindi kirefu cha Masomo.na mambo yao yalikuwa mwake kama ionekanavyo pichani hapa.sasa sijui katika zile Shule za kule nanihii ikifika kipindi cha Mapimziko mambo huwa yanakuwaje?? tutakatiza siku moja na kuona,hivyo endelea kutufatilia kila wakati na uendelee kufurahia taswira kabambe za Mtaa kwa Mtaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad