HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 31, 2014

Wakazi wa Dar walivyoisherehekea sikukuu ya Idd pili kwenye Ufukwe wa Kawe jijini Dar

Kila inapofika siku za Sikukuu katina nchin i yetu hii,watu wengi hupenda kwenda sehemu mbali mbali kwa kuzisherehekea sikukuu hizo.kwa upande wa wakazi wengi wa Jiji la Dar hupenda kwenda kwenye Fukwe mbali mbali zilizopo Jijini,moja ya fukwe hizo ni hii ya Kawe.Ambapo wakazi wa maeneo mbali mbali hupenda kuja katika Fykwe hii na familia zao ili kuweza kusherehekea vyema sikukuu zao kama Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog ilivyoweza kuzinasa taswira hizi na kuja kuzimwaga hapa barazani.
Hapa ni full burudani kwa watoto na wakubwa,kwana wanapiga zao mbizi bila zengwe lolote.
 Mdau akitalii majizi na spidi boti yake.
 hata wasiotaka kuogelea pia utawakuta huku wakipiga misele ya hapa na pale ili mradi na wao wamefika kupunga upepo.
 Wafanyabiashara nao hapa ndio mahala pao,kwani hawawezi kutoka bila chochote.
Vibweka huwa havikosekanagi katika maeneo kama haya,pichani eti jamaa kauchapa uzingizi na wenzake wakamfunika mchanga.
 hawa nao mambo ndio hayo hayo.
 Mtu na Mamsapu wake
Hawa nao wakaja na staili yao ya kuvaa madera wakati wao ni watoto wa kiume,sikuwaelewa kwa kweli.
 Bichi yetu kama Miami vileeee
 Kala pozi bidada.
 Kwa raha zake mwenyewe.
 Hawa nao wakajibunia kampindo,kwamba mtu akitaka kupanda Farasi wao analipia sh. 1000.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad