HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 21, 2014

Mwanalibeneke Michael Machella afiwa na mtoto wake

Mdau na Mwanalibeneke Michael Machella anasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wake wa kike, Everlyne Michael Machellah,kilichotokea  katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Marehemu, ambaye alikuwa ana umri wa mwaka mmoja,  alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.

Mazishi yanatarajiwa kuyafanyika kesho.  Muda na wapi tutawajulisha.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa 
Jina la Bwana lihimidiwe milele 
Amina.

2 comments:

Post Bottom Ad