HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2014

Mh. Lowassa ahani Msiba wa Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Marehemu Mathew Gadi Mwanga,Nyumbani kwake jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Mathew Gadi Mwanga,aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa Marehemu,Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad