HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2014

mbunge wa chalinze aweka jiwe la msingi la nyumba za walimu, akagua ujenzi wa zahanati Lugoba

 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akiweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kwa na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze
 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo ndugu Samuel Saliyanga wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba 
 Jengo jipya la Zahanati linaloendelea kujengwa katika kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba Jimbo la Chalinze linaloongozwa na Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.
 Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akielekea kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kutokana na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad