HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 28, 2014

kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kwa watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA,Sinza

Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi za mkono wa Idd kwa watoto,wanaolelewa kwenye kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .
Dada Cheyzo Uliza,Edith Masauki na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo waliopo kituoni hapo.
baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa ni wenye furaha kwa kutembelewa na ugeni huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad