Wafanyabiashara wa mkaa wakijaribu kuokoa mkaa usilowe maji .
|
Mifugo ikipita katika maji yaliyokuwa yakitokea katika mashamba ya TPC.
|
Maji yakipita kwa wingi yakitokea katika Mashamba ya miwa ya TPC na maeneo ya katikati ya mji ambako mvua kubwa imenyesha .
|
Mama akimsadia mtoto wake kuvuka maji katika eneo la Mabogini .
|
Wanafunzi wakijaribu kuvuka maji wakati wakitoka shuleni.
|
Wazazi walilazimika kuacha shughuli zao na kwenda kuwachukua watoto wao wasije chukuliwa na maji.
|
Maji yakiingia katika maeneo ya makazi ya watu katika eneo la Mabogini.
|
Wazazi walilazimika kufanya kazi ya kuwavusha wanafunzi.
|
Sehemu ya makazi ya watu ikiwa imeingiliwa na maji.
|
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazi.
No comments:
Post a Comment