HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 18, 2014

Taasisi ya faridas foundation yazindua mradi mpya wa TADEPUGRA

Taasisi ya faridas foundation imezindua mradi mpya utakaojulikana kwa jina la Tanzania Development Projects for Unemployed Graduates (TADEPUGRA) lengo likiwa ni kufungua milango kwa wahitimu wa ngazi mbali mbali wasio na ajira hapa nchini, Mradi huu utanufaisha vijana zaidi ya 100 ikiwa ni kuwaajiri ndani ya taasisi na kuwawezesha kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo, pia itatoa tuzo kwa waandishi mahiri 10 watakaoshinda kuandika muswaada (proposal) wa miradi ya kijamii. 

Form za kujiunga zinapatikana faridas shop akachube road, kijitonyama Dar es salaam, vilevile unaweza kuomba utumiwe kwenye email yako tukakutumia na pia katika tovuti yetu www.faridasfoundation.org Malipo ya hizo form ni sh 5000/= tu yafanyike katika account ya taasisi faridas foundation limited 0150259122000 katika tawi lolote la CRDB au katika duka hilo na hakikisha unapatiwa risiti. 

Semina na uwasilishaji wa form utafanyika tar 5 na 6 May,2014 katika ukumbi wa Urafiki social hall, Urafiki shekilango dar es salaam , kuanzia saa  2 asubuhi mpaka saa 12 jioni, fomu zisizo na risiti au stakabadhi ya benki haitohesabika na mwasilishaji hatoruhusiwa kuhudhuria semina hyo. 

Hakikisha umeambatanisha nakala kivuli cha vyeti vyote.
Kwa mawasiliano zaidi..
Simu #
+255737218069+255737218069,
+255713555066+255713555066,
+255715921008+255715921008,
+25573721008,
+255656676441+255656676441, na
+255715186262+255715186262. au emails:
faridasfoundation@gmail.com
h.lumamy@gmail.com
Asanteni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad