HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 23, 2014

SAFARI LAGER YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VYUO VINAVYOSHIRIKI FAINALI ZA HIGHER LEARNING POOL COMPETITION 2014 JIJINI DAR

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt nahodha wa timu ya mabingwa watetezi wa mashindano ya Safari Pool ya Elimu ya juu, Abubakar Amri wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha DSJ, Mwajuma Kitwana wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha Mwl.Nyerere, Nelson Fred wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha IFM, Edger Nika wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha Open University, Henry Mboga wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya elimu ya juu iliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam.Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya elimu ya juu iliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad