HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 18, 2014

Jeshi la Polisi Mkoani Tabora laendelea na Operesheni zake

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na Waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora ambapo wahalifu wa  makosa mbalimbali yamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani. 
 Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manira.
 RPC tabora akiwaonesha waandishi wa habari katika Press Conferences leo bunduki aina ya gobore ambayo alikamatwa nayo mtuhumiwa.
 RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwafafanulia waandishi wa habari juu ya pikipiki zilizokamatwa na Polisi baada ya Kuporwa na wahalifu
 RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwafafanulia waandishi wa habari juu ya pikipiki zilizokamatwa na Polisi baada ya Kuporwa na wahalifu
RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwaonesha waandishi wa habari maganda ya risasi 2256 aina ya SMG yaliyokuwa yametelekezwa na wahalifu. Picha na habari na DC Fakih Abdul
wa ofisi ya Kamanda mkoa wa Tabora.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad