HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 25, 2014

HIVI NDIVYO ILIVYO BARABARA YA ISAPULANO WILAYANI MAKETE

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete zimeharibu barabara hii kama unavyoona, hapa ni kijiji cha Isapulano ambapo mvua imeharibu barabara hii kiasi cha kusababisha mabasi na malori kubadilisha njia na kupita kijiji jirani cha Ivalalila, hapa yanapita magari madogo tu tena yenye 4 wheel ambao nayo yanapita kwa tabu. 
 
Hali hii amekutana nayo mwandishi wetu wakati akielekea kwenye uzinduzi wa wiki ya chanjo wilaya ya Makete ambayo imezinduliwa kiwilaya katika kijiji cha Isapulano..(Picha na Edwin Moshi,Kanda ya nyanda za juu kusini)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad