HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 24, 2014

BALOZI SHIMBO AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MHE. XI JINPING, RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA

Balozi wa Tanzania Nchini China,Lt. Jen. Mstaafu Abdulrahaman Amiri Shimbo akimkabidhi Mhe. Rais Xi Jinping hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu “The People’s Great Hall” ya Jamhuri ya Watu wa China, Beijing, tarehe 20 Machi 2014 . Balozi A.A Shimbo alikuwa wa kwanza kuwasilisha hati zake za utambulisho kati ya mabalozi 14 waliowasilisha hati zao siku hiyo.
Mhe. Balozi Shimbo akiwa na Mhe. Rais Xi Jinping mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu “The People’s Great Hall”.


Maafisa Ubalozi wa Tanzania Beijing, walioambatana na Mhe. Balozi Shimbo katika tukio hilo muhimu wakisalimiana na Mhe. Rais Xi Jinping. Maafisa hao walikuwa ni pamoja na: Brigedia Jenerali Blasius K. Masanja, Bibi Matilda S. Masuka, Afisa Mambo ya Nje Mkuu na Bw. Edmund J. Kitokezi, Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad