HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 8, 2013

MAZISHI YA BABA MZAZI WA MSANII WA KIZAZI KIPYA 20 PERCENT WAFANYIKA KIJIJINI KIMANZICHANA

Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga
Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa
Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la  Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga

Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele
Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana
Baadhi ya wananchi waliofika msibani
Wazee wakiesabu kiasi cha pesa kilichopatikana kwa watu waliotoa rambirambi zao kwenye msiba wa marehemu Mzee Kinzasa
Mzee akieleza jambo kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent aliyefariki siku ya Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye kijiji cha Kimanzichana
Mwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambi
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichoko wilaya ya Mkulanga mkoani Pwani hapo jana mchana
Mtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo  kutoa rambirambi zao

PICHA NA PAMOJA/PAMOJAPURE BLOG

3 comments:

  1. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.

    ReplyDelete
  2. Pole sana 20%,ILA WATANZANIA TUNA UBAGUZI SANA, HAPA SIONI VIONGOZI WA JUU WA SERIKALI, KM ALIVOKUFA MAMA YAKE PROFESA J,VIONGOZI ,WANASIASA,WASANII NA WATU WENGINE MAARUFU WALIWEZA KUHUDHURIA MSIBA ULE.HII INANIPA PICHA KUWA KM HUNA FEDHA TZ UTAZIKWA NA MASIKINI WENZIO,NA MATAJIRI WANAZIKANA WENYEWE.LALA SALAMA BABA WA 20%

    ReplyDelete
  3. yaani loh, hapo simuoni ch fid q, wala sijui benzino wala mbunge wala sijui jb wala ray loh kweli msema kweli umenena haya tusio na pesa na wenye nazo kweli tuna matabaka.

    P.I.P baba 20%

    ReplyDelete

Post Bottom Ad