HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 2, 2013

KILI MUSIC TOUR 2013 NDANI YA KIGOMA NI MOTOOOOO

Wasanii wa Muziki wanaounda kundi la Kigoma All Stars (Leka Dutigite) wakiwapagawisha Mashabiki wao waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma wakati wa Tamasha la Muendelezo la Kili Music Tour 2013 lililofanyika mwishoni mwa wiki. 
Msanii Recho akiwapagawisha mashabiki wake ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013.
Barnaba akifanya mambo yake.
Mamaa wa Leka Dutigite,Mwasiti Almas akionyesha uwezo wake stejini 
Mkali wa RnB,Muite Ben Pol akionyesha kujikubali kwake wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013,lililofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Izzo Biznes akikamua vilivyo kwenye Tamasha hilo.
Shangwe tupu ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika.
Mkali wa Hip Hop kwa Mwaka 2012/13,Kala Jeremier akionyosha ukali wake kwa Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma.
Ni Shangwe tupu kwa Wakazi wa Kigoma.
Fid Q akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa Kigoma.
Linex Mjeda akitamba nyumbani kwao.
Binti Komando,Lady Jay Dee akimsaka Yahaya na Makazi yake huko Mkoani Kigoma,wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013.
Wenyewe wanasema usawa unakaaabaaa,na rafiki wa kweli ni Mama na Babaa....: Ni Joto Hasiraaa hiyooo.Kulia Prof Jay na kushoto ni Binti Komando Lady Jay Dee.
Prof Jay akionyesha ukali wake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad