HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 22, 2013

Tamasha la Kili Music Tour 2013 ni funika bovu ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Linex akiwasalimia mashabiki na wapenzi wa Muziki waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo,ambapo usiku huu kulikuwa na bonge moja la Show ya Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
 Linex akikamua kisawasa ndani ya uwanja wa jamhuri mjini Dodoma usiku huu.
 Msanii aliejinyakulia Tuzo kadhaa za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Ommy Dimpoz akienda sambamba na timu yake ya Madansa wakitoa burudani ya kufa mtu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma usiku huu.
 Msanii Ben Pol akighani moja ya nyimbo zake.
 Mashabiki hawakutaka kabisa kupitwa na taswira za show hii.
 Ben Pol akiendelea kuwakilisha.
 Ni shangwe kwa kwenda mbele ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma hivi sasa. 
 Msanii wa Hip hop Mwenye tuzo nne za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Kala Jeremier akifanya vitu vyake usiku huu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 Kala akipagawisha mashabiki.






















No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad