HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 3, 2013

Hivi hii imekaaje jamani??

 
Maana si mara ya kwanza sasa kuona namna hii,kwani hakuna shemu zingine za kuhifadhi hizi taka mpaka kwenye muweke hapa??hii ni katika mtaa unaotoka Kinondoni Kanisani kwenye kutokea Mwananyamala kwa Kopa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad