Tuesday, February 12, 2013

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    kaka ubarikiwe sana sijui ulijuwaje kama nilikuwa na hamu ya kuona mji wa Arusha niliyoumisi siku nyingi sana nimefaidi sana niko nje ya nchi kwa muda sasa nalitokea Arusha kitu kimoja tu umesahau kutuandikia majina ya hizo mitaa maana ramani zimeshabadilika pamejengwa sana mji wa ARUSHA athorwise you do good job tembelea sanawari utuwekee picha za sanawari ya chini na ya juu ubarikiwe sana bila kusahau mianzini napenda sana kutembelea blog yako big up

Post a Comment

 
Modified by MKCT
Nafasi Ya Matangazo
Idadi ya watu
Idadi ya watu