HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 19, 2012

WAKALI WA MICHANO ILALA WATINGISHA DAR LIVE, MBAGALA

Mmoja wa washindani, Halid Salim, akikamua.
Baraka Daniel akichana mashairi.
...Shindano likiwa limepamba moto.
Washindani wakiwapamoja kabla ya shindano.
Majaji wa shindano (toka kushoto) Abadalah Mrisho, DJ John Dilinga na Ally Baucha.
Hawa ndiyo tano bora.
Waimbaji wa Twanga Pepeta Salehe Kupaza (kulia) na Dogo Rama wakiwapa burudani mashabiki.
Kimwana, Nadya Charles wa kundi la Shani Stars akitoa burudani ya nguvu.
SHINDANO la Mkali wa Michano (The Mic King) vijana wa wilaya ya Illala lililofanyika jana Jumapili ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam, lilikuwa la aina yake.
Shindano hilo lililoshirikisha vijana kumi lilisindikizwa na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga
Pepeta’ na kuwapa wakati mgumu majaji kuwachagua watakaoingia katika tano bora.
(Picha na Issa Mnally/GPL)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad