HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 17, 2012

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MUONEKANO WA MAENEO MBALI MBALI NDANI YA JIJI LA MBEYA

Mnara wa Mwenge uliopo maeneo ya karibu na Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya kama unavyoonekana.
Eneo la BP kuelekea maeneo ya katikati ya jiji la Mbeya.
Jengo la Mbeya Retco linavyoonekana sasa.
Moja ya Majengo ya Zamani ndani ya Jiji la Mbeya.
Biashara kwenye kona ya BP.
Sehemu ya Kuosha Magari nyuma ya Jengo la iliyokuwa Mbeya Retco.
eneo la Nyuma ya Jengo la Mbeya Retco.
Mitaa ya Uhindini mjini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad