HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 12, 2012

MBAGALA ILIVYONUKA LEO, Mabomu kila kona sirahisi vurugu kwisha bila busara kutumika, Mkanisa matatu yavunjwa.A

Askari wa jeshi la Polisi kikosi cha kutuliza ghasia wakiwadhibiti vijana waliokuwa wakileta vurugu eneo la mbagala kufuatia kijana mmoja anaesemekana anasoma kidato cha kwanza kukojolea mkojo Quraan na kusababisha hasira kwa waisilamu hassa vijana ambao walitapakaa mitaani na kuanza kuleta vuru.
Vijana waliosambaa mitaani na kuamsha vurugu kubwa kwenye eneo hilo la Mbagala Kizuiani.

Waisilamu waliotoka msikitini kwenye swala ya Ijumaa walikumbana na kimbembe cha kamatakamata hatakama hawakuwemo kwenye sakata hilo, alama ni kanzu na sijda



Hapa baadhi ya waisilamu walioamua liwalo naliwe nakuamua kuwatunishia msuli polisi nakusema pigeni mpendavyo hatoki mtu.


Barabara zilikua zikiharibiwa kwa moto ulikuwa ukiwashwa na waisilamu hao wenye hasira.
Maji ya kuwasha yalikuwepo ingawa hayakuweza kuzuia vurugu hizo.


Askari na watuhumiwa wakivuka pamoja kwenye mtaro wa maji taka.


Watuhumiwa wavurugu hizo wakipandishwa kwenye gari la polisi.

1 comment:

  1. eti mbona hiyo picha no.8 huyo anayevutwa kwenye mtaro na yeye mwendesha blog ya Temeke.(temekepamoja.blogspot.com)nipeni maelezo zaidi jamani

    ReplyDelete

Post Bottom Ad