HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 19, 2012

Redd's Miss Njiro apatikana usiku huu,ni Anitha Mbowe

Redd's Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili,Winmava John (kulia) na wa Tatu,Husna Ally mara baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Klabu Triple A,Jijini Arusha.
Redd's Miss Njiro 2011 (aliemaliza muda wake),Lucky Jackson (mwenye nyuo nyeusi),akimvisha taji Redd's Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe (pili kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi katika mashindayo hayo ya urembo yalimalizika muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Triple A,Jijini Arusha.
Kipindi cha Maswali na Majibu kwa washiriki walioingia tano bora.
Washiriki wote stejini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Dayna ndie alietumbuiza usiku huu pamoja na vijana wake wa kudansi.hapa akiwa kanyanyuliwa juu juu ikiwa ni moja ya vionjo vyake.
Burudani kutoka kwa warembo.
Burudani ikiendelea
MC Soggy Dog Hunter akifanya vitu vyake usiku huu.
Jaji Mkuu wa Shindano hilo,akitangaza majina wa washiriki walioingia tano bora.
Burudani ya Dansi toka kwa vijana wa Arusha.
 Wadau wa TBL mkoa wa Arusha.
Majaji wakiwa majini na kazi yao.
Wadau Mbali mbali waliofika kushuhudia mshindi wa shindano hilo anavyopatikana.
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Mkoani Arusha,Bw. George akimpongeza mshindi wa Redd's Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe mara baada ya kushinda taji hilo.

3 comments:

  1. sijajua wametumia vigezo gani kumpata kama ni urembo wapo waliomzidi

    ReplyDelete
  2. Kusema kweli kusoma hatujui lakini picha tunaona jamani!! Nyie majaji mmekula mlungula au ndio kusema hakuna warembo zaidi yake mbona mnaaibisha kiasi hiki??

    ReplyDelete
  3. INASIKITISHA SANA, CJUI NI VIGEZO GANI MNATUMIA, ILA MAJAJI MNATUTIA AIBU, NI LAZIMA HUYU MSHINDI YUKO KARIBU NA MEZA!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad