HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 29, 2012

hafla ya uzinduzi wa kopo jipya la castle lite yafana sana

Meneja wa Bia ya Castle Lite,Pamela Kikuli (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kopo jipya la Bia hiyo uliofanyika jana jioni kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),waliopo kwenye kiwanda cha Kampini hiyo,Ilala Mchikichini,Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Bia ya Castle Lite,Pamela Kikuli (katikati) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa TBL (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bia ya Castle Lite ya kopo uliofanyika jana jioni kwenye Pub Safari,iliyopo kwenye Kiwanda cha Kampuni hiyo,Ilala Mchikichini Jijini Dar es Salaam.Kushoto na Kulia ni Wadada wanaokitangaza kinywaji hicho.
Meneja wa Bia ya Castle Lite,Pamela Kikuli akipata Kinywaji Cha Castle Lite kuashiria kwamba sasa mzigo ni ruksa kwa watumiaji.
Mzigo wa Castle Lite ukiwa umepambwa na kupambika.
Wadau wa TBL wakipatiwa kilaji cha Castle Lite ya kopo.
Mrembo wa Catle Lite akimpatia Mdau kitu cha kopo.
MC wa shughuli hiyo akiuliza maswali kwa wadau wa TBL wakati wa Promosheni fupi iliyofanyika kiwandani hapo.
Wadada wa Castle Lite na mzigo wao.
Kwaito kama kawa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad