Thursday, February 23, 2012

Mdau John Badi afiwa na Mama Yake

Wapendwa naomba niwafikishie taarifa ya Msiba wa Mama yake Mzazi John Hans Badi - Mpigapicha wa Magazeti ya This Day na Kulikoni.

Kifo kilitokea jana jioni katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Msiba upo Morocco kama unaelekea Kawe mkono wa kushoto ukitoka tu katika mataa.
Mawasiliano zaidi John H Badi 0712155221.

Tumpe faraja ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

2/23/2012 ~ Copyright: Othman Michuzi ~ Mtumie Rafiki Yako , Maoni: 0

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru

 
Modified by MKCT
Idadi ya watu
Idadi ya watu