Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es Salaam, wakiandamana katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi katika eneo hilo.Picha na Hamisi Magendela
1/28/2012
~
Copyright: Othman Michuzi
~
Mtumie Rafiki Yako
,
Maoni: 0











