Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi kujadili ratiba ya maandalizi ya mazishi ya Mhe. Regia Mtema katika ofisi za Bunge leo. walioko kulia ni Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (Mb), Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (Mb) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge Mhe.William Lukuvi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi kujadili ratiba ya maandalizi ya mazishi ya Mhe. Regia Mtema katika ofisi za Bunge leo.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa leo chini ya uenyekiti wa Mhe. Spika kujadili ratiba ya maandalizi ya mazishi ya Mhe. Regia Mtema katika ofisi za Bunge. Kulia ni Mhe. Zaituni Buyogela (Mb) na Mhe. Maua Daftrari. mwenye suti kushoto ni Mhe. William Lukuvi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.
No comments:
Post a Comment