Nafasi Ya Matangazo

Friday, January 27, 2012

Dkt. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala bora leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo leo.Picha na Ramadhan Othman IKULU

1/27/2012 ~ Copyright: Othman Michuzi ~ Mtumie Rafiki Yako , Maoni: 0

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru

 
Modified by MKCT
Idadi ya watu
Idadi ya watu