HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 15, 2011

RAIS KIKWETE AKIWA NA DR MIGIRO NA BALOZI MULAMULA KAMPALA LEO

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimpongenza Balozi Liberata Mulamula kwa kazi nzuri aliyoifanya katika sekreterieti ya Maziwa Makuu kwa miaka mitano. Pembeni ni Dr Asha-Rose Migiro Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa walipokuwa katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje kidogo ya Kampala kunakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) ambapo Balozi Mulamula ndio amemaliza rasmi muda wake wa kufanya kazi kama Katibu Mtendaji wa ICGLR na kumuachia kiti Prof Lumu Alphonse Ntumba Luaba (59) wa DRC.
Viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) wakiwa kwenye picha ya Pamoja leo.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad