HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 10, 2011

Mkutano wa 13 wa Maspika na Wenyeviti wa Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola waendelea mjini Lilongwe,Malawi

Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akifuatilia mjadala wa mkutano wa 13 wa Maspika na Wenyeviti wa Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika umeendelea mjini Liliongwe Malawi leo kwa kujadili changamoto mbalimbali zitokanazo na vyama vya upinzani.
Kutoka kulia ni Bw Saidi Yakubu na Bw. Demetrius Mgalami kutoka Tanzania wanaounda sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika.
Ulifika wakati wa kulitembelea Jengo jipya la Bunge la Malawi ambapo Maspika wote kutoka nchi kumi na tisa walipata fursa ya kupanda mti wa ukumbusho katika viwanja vya Bunge hilo. na hapa Mhe Makinda akipanda mti wa Ukumbisho katika eneo lilitengwa rasmi kwa ajili ya wa Tanzania,mti aina ya ashoki.
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa na Mhe. Spika kwenye mti huo.
Picha ya Maspika wote baada ya kupanda miti.Picha zote na Prosper Minja -Bunge.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad