HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 28, 2011

MO BLOG YAKUMBWA NA VITA VYA MAWASILIANO…!!!

Wapenzi Wasomaji wetu wa MOBLOG, Tunasikitika kuwa hatutakuwa hewani kwa kipindi kifupi tu kuanzia sasa kutokana na Tatizo lililokuwa nje ya uwezo wetu ambalo linashughulikiwa .

Tunawaomba Radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza . Asanteni kwa uvumilivu wenu.

MOBLOG TEAM.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad