Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 7, 2011

demo-image

Matembezi ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar

0+4
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya taifa CCM,Dk Ali Mohamed Shein huku wakionesha bango lenye Picha na ujumbe wa kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar,wakati wa mapokezi ya matembezi ya kumuenzi rais huyo yaliyopokele wa na Rais wa Zanzibar katika viwanja vya CCM Afisi kuu Kisiwandui leo.
001
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya taifa CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea matembezi ya kumbu kumbu ya miaka 39 ya kumuenzi muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar,hayati Abeid Amani Karume,katika viwanja vya CCM Afisi kuu Kisiwandui leo.Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Abdalla.

1 comment:

  1. blank

    Kilichokufa na kizikwa ni kiwiwili wili chake fikra na wawazo yake vitaendelea kudumishwa milele.
    "baraza la mapinduzi zanzibar"
    April.8.1972

    ReplyDelete

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *