Ofisa Mkuu wa Tekenorojia Kampuni ya Zantel Bw. Moncef Mettiji wa pili (pili kulia) akimuonesha moja ya mitambo ya mawasiliano ya Kampuni hiyo, Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Bw. Charles Kitwanga alipotembelea kampuni hiyo Dar es salaam leo kuliani, Ofisa Mtendaji Mkuu Ali Bin Jarsh na kushoto ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa wa Zantel, Norman Moyo.
Post Top Ad
Thursday, March 31, 2011

Home
Unlabelled
NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA ZANTEL
NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA ZANTEL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment