HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 5, 2010

hatimae kile kipande korofi cha mtaa wa mafia,kkoo chapatiwa ufumbuzi

leo katika katiza katiza zangu za mtaa kwa mtaa,nilipita katika mtaa huu ambao siku chache zilizopita nilileta picha za eneo hili (zicheki hapa) lililokuwa limeharibika vibaya sana.lakini nilipopita leo nimekuta mambo yapo kama yanavyoonekana hapa.
hapa mtaalam wa kuendesha kile kimashine cha kushindilia akiwajibika ili kuhakikisha mtaa unakuwa poa.
hata magari yanapita vyema sasa,sio kama hali ilivyokuwa hapo awali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad