MKCT Love
Tuesday, September 28, 2010

Orodha ya PILI ya waliochaguliwa na TCU kujiunga na Vyuo Vikuu

Ifuatayo ni orodha ya pili iliyotolewa na TCU ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo katika na vyuo vikuu mbalimbali nchini. Orodha hii inajumlisha vyuo vifuatavyo: ARU, WBUCHS, CBE (DSM & DODOMA), CDTI, UDOM, DIT, HKMU, IAA, IFM, IMTU, IUCO, SJCET, SJIIT, KCMCO, KIU, MIST, MUCOBS, MUHAS, MUCO, MMU, MNMA, MU, MWUCE, OUT, na IRDP . Orodha iliyotolewa awali kwa vyuo vingine, tafadhali bofya hapa.

Ukiwa na swali au maelezo yoyote kuhusiana na orodha hii, usiutume ujumbe wako wavuti.com kwani hautashughulikiwa, bali unapaswa kuwasiliana na TCU katika anwani yao:
Tanzania Commission for Universities,
P. O Box 6562,
Dar es Salaam.
Phone +255 (0) 22 2772657,
Fax: +255 (0) 22 277289

0 comments:

Post a Comment

Nafasi Ya Matangazo